Mavazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 106 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11460 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:KangaSiyu1.jpg|thumb|200px|[[Kanga]] ni mavazi ya [[wanawake]] wa [[Afrika Mashariki]] (hapa: [[Pate]]).]]
'''Mavazi''' (kutoka [[kitenzi]] "kuvaa") ni nguo ambazo huvaliwa na [[watu]] kwa kusudi laili kufunika [[mwili]] au sehemu zake. Mavazi huwa na kusudimakusudi mbalimbali:
* hukinga mwili dhidi ya [[baridi]] au [[jua]] kali pamoja na athira nyingine za mazingira zinazoweza kuathiri vibaya mwili uchi.
* huwasilisha [[ujumbe]] kwa watu wengine kwa kuonyesha mtu fulani ni sehemu ya kundi (k.m. [[jeshi]], kanisa[[timu]], mavazi ya[[dini]], kikabila[[kabila]]) au [[tabaka]] (nguo ghali za mtajiri[[tajiri]]) au anapendelea jambo (nembo kwenye nguo).
 
Kimsingi nguo zinalingana na [[hali ya hewa]] na [[mazingira]]. Penye [[joto]] mavazi huwa nyepesimepesi na penye baridi huwa nzitomazito zaidi. Kila [[utamaduni]] umebuni aina yakezake yaza mavazi. Historia inaonyesha pia ya kwamba tangu kale tamaduni mbalimbali zimepokea mavazi kutoka nje na kubadilisha mitindo yao. Hata kama katika majira ya [[utandawazi]] watu wanavaa nguo zilezile bado wanaweza kuzitumia tofauti.
 
[[Historia]] inaonyesha pia ya kwamba tangu kale tamaduni mbalimbali zimepokea mavazi kutoka nje na kubadilisha [[mitindo]] yao. Hata kama katika [[majira]] ya [[utandawazi]] watu wanavaa nguo zilezile bado wanaweza kuzitumia tofauti.
Kuna mavazi ya aina nyingi kwa mfano ya [[kitambaa]], [[nguo]], [[sufi]], [[ngozi]] au [[plastiki]].
 
Kuna mavazi ya aina nyingi, kwa mfano ya [[kitambaa]], [[nguo]], [[sufi]], [[ngozi]] au [[plastiki]].
Vilevile mavazi hutofautishwa kama ni ya wanaume, wanawake au watoto, kama ni mavazi ya kikazi au ya nyumbani au ya sikukuu.
 
TofautiVilevile nyinginemavazi hutofautishwa kama ni mavazi ya chini[[wanaume]], [[wanawake]] au ya juu[[watoto]], au kama ni mavazi ya sehemu[[Kazi|kikazi]] mbalimbaliau zaya mwili[[Nyumba|nyumbani]] kamaau vile suruali, mashati, koti auya viatu[[sikukuu]].
 
Tofauti nyingine ni kama mavazi ya chini au ya juu, au kama ni mavazi ya sehemu mbalimbali za mwili kama vile [[suruali]], [[shati|mashati]], [[koti]] au [[viatu]].
Utengenezaji na biashara ya mavazi ni sehemu muhimu ya biashara na kuna kazi nyingi zinazotegemea mavazi.
 
[[Utengenezaji]] na biashara[[uuzaji]] ya mavazi ni sehemu muhimu ya [[biashara]] na kuna kazi nyingi zinazotegemea mavazi.
 
{{mbegu-utamaduni}}
 
==Viungo vya nje==
{{commons|clothing|mavazi}}
 
[[Jamii:Nguo|*]]
[[Jamii:Mavazi|*]]