Mavazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:KangaSiyu1.jpg|thumb|200px|[[Kanga]] ni mavazi ya [[wanawake]] wa [[Afrika Mashariki]] (hapa: [[Pate]]).]]
'''Mavazi''' (kutoka [[kitenzi]] "kuvaa") ni [[nguo]] ambazo huvaliwa na [[watu]] ili kufunika [[mwili]] au sehemu zake. Mavazi huwa na makusudi mbalimbali:
* hukinga mwili dhidi ya [[baridi]] au [[jua]] kali pamoja na athira nyingine za mazingira zinazoweza kuathiri vibaya mwili uchi.
* huwasilisha [[ujumbe]] kwa watu wengine kwa kuonyesha mtu fulani ni sehemu ya kundi (k.m. [[jeshi]], [[timu]], [[dini]], [[kabila]]) au [[tabaka]] (nguo ghali za [[tajiri]]) au anapendelea jambo (nembo kwenye nguo).