Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8:
* hakuna mpangilio wa lugha.
 
Kama ungetafuta jamii inayoweza kufaa ungeona pia ya kwamba jambo unalojadili kuna tayari makala [[mavazi]]. Hii unaweza kupanusha. Lakini ilhali "nguo" ina maana mawili tofauti yaani a) vazi na b) kitambaa unaweza pia kubadilisha makala kujadili habari za vitambaa. Hapa ningekushauri angalia kwenye wikipedia ya Kiingereza makala ya [[:en:textile|textile]] (ni ndefu), pia simple.wikipedia.org kwa "[[:simple:textile]]" (ni fupi zaidi). Hapa unaweza kupata mawazo inafaa kutaja habari gani. Unaweza kutafsiri püiapia sentensi kadhaa (lakini usitafsiri sentensi ndefu za Kiingereza moja kwa moja maana tokeo lake mara nyingi si Kiswahili tena) .
 
Kuhusu mengine uliyoanzisha kwenye ukurasa wako pia fanya utafiti kwanza kabla ya kupakua; mfano tuna tayari makala ya [[vita ya Maji Maji]] ingawa ni fupi sana inaweza kupanushwa kwa kuongeza habari. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 15:44, 10 Julai 2017 (UTC)