Nguo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
'''Nguo''' ni [[kitambaa]] ambacho kinaweza kutumika kufunikia [[meza]], [[kitanda]] n.k. lakini hasa kutengenezea [[mavazi]] mbalimbali yanayovaliwa na [[Binadamu|mtu]] kwa ajili ya kujisitiri, kwa sababu ya kutunza [[heshima]] yake na kujikinga dhidi ya [[baridi]], [[jua]], [[mvua]] n.k.
 
Nguo huvaliwa kulingana na [[hali ya hewa]] na [[mazingira]] fulani, lakini pia kulingana na [[mitindo]] ya nyakati. Wakati mwingine neno "nguo" linataja pia mavazi yenyewe.
 
== Tanbihi ==