George Lucas : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 77 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q38222 (translate me)
No edit summary
Mstari 2:
'''George Walton Lucas, Jr.''' (amezaliwa tar. [[14 Mei]] [[1944]] mjini [[California|Modesto, California]]) ni mwongozaji, mtayarishaji na mwandikaji wa script wa filamu wa [[Marekani|Kimarekani]]. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kutayarisha mfululizo wa filamu za Star Wars na mfululizo wa filamu za Indiana Jones.
 
Lucas pia aliongoza filamu za THX 1138 (1970) na American Graffiti (1973). Akiwa pamoja na rafiki yake wa karibu Bw. [[Steven Spielberg]], walifanikisha kutengenezwa kwa mfululizo wa filamu za Indiana Jones. Lucas vilevile ni mtaalam wa kuweka vionjo mbalimbali vya kizushi, yaani, sayansi fiksheni, na pia ameanzisha kampuni yake inayoandaa mambo mengi yahusianayo na filamu na kadharika. Alikuwa mwandishi sugu na aliyeshamiri katika uwanja wa uigizaji.
 
== Viungo vya nje ==