Utalii nchini Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Pt Thomson Batian Nelion Mt Kenya.JPG|thumb|right|250px|[[Mlima Kenya]].]]
{{Mergefrom|Watalii nchini Kenya|date=Julai 2010}}
'''Utalii nchini Kenya''' ni sekta iliyo chanzo kikuu cha mapato ya [[fedha za kigeni]] baada ya [[kilimo]].<ref name="re">{{cite news |first= |last= |authorlink= |coauthors= |title=Post-poll violence halves Kenya Q1 tourism revenues |url=http://www.reuters.com/article/africaCrisis/idUSL02261502 |work=[[Reuters]] |publisher= |date=2008-05-02 |accessdate=2008-05-04 }}</ref>
 
[[Kenya]] ni kati ya nchi zilizo na [[mazingira]] murua zaidi [[ulimwenguni]] na bila shaka [[watalii]] hufurahia mno kuzuru eneo hili. Kama wahenga walivyosema kuwa kutembea kwingi ni kuyaona mengi, [[Rabuka]] ametunukia Kenya hidaya kochokocho kwa kuipatia [[wanyama]] wengi, [[misitu]] na maskani rembo kupindukia.
[[File:Pt Thomson Batian Nelion Mt Kenya.JPG|thumb|right|250px|Mlima Kenya]]
 
'''Sekta'''Vivutio vikuu yavya '''[[Utaliiutalii]] nchini [[Kenya]]''' ni chanzo cha mapato ya fedhasafari za kigeni baada ya kilimo.<ref name="re">{{cite news |first= |last= |authorlink= |coauthors= |title=Post-poll violence halves Kenya Q1 tourism revenues |url=http://www.reuters.com/article/africaCrisis/idUSL02261502 |work=[[Reuterspicha]] |publisher= |date=2008-05-02 |accessdate=2008-05-04 }}</ref> Vivutio vikuu vya utalii ni safari za picha kupitia mbuga za kitaifa na michezo ya uhifadhi ambayo [[idadi]] yao ni 19 . Vivutio vingine ni pamoja na [[misikiti]] katika [[jiji]] la [[Mombasa]]; [[mandhari]] inayojulikana ya [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki|Bonde la Ufa]]; [[shamba]] la [[kahawa]] mjini [[Thika]]; mtazamo wa [[Mlima Kilimanjaro]], ukivuka mpaka kuingia [[Tanzania]];<ref name="ne">[2] ^ [http://www.nationsencyclopedia.com/Africa/Kenya-TOURISM-TRAVEL-AND-RECREATION.html Encyclopedia ya Mataifa]</ref> na [[fukwe]] zake kando ya [[Bahari ya Hindi]]. Hata hivyo kuna mapato mengi ya kitalii nchini Kenya .
 
==Historia==
[[Lee Jolliffe]], katika [[kitabu]] chake [3] anasema kwamba ya utalii yawa Kenya uliendelea kwa kuhifadhi [[maliasili]], ingawa "utalii wa fukwe, utalii ya eco, utalii wa utamaduni na utalii wa michezo zote zinafomu sehemu moja." <ref name="Jolliffe146">[[Jolliffe]] 2007, p.146</ref>

Katika [[miaka ya 1990]], idadi ya [[watalii]] waliokuwa wakisafariwakisafiri nchini Kenya ilipungua kwa sababu ya mauaji ya watalii.<ref name="Nagle">[[Nagle]] 1999, p.115</ref> Hata hivyo, utalii nchini Kenya umekuwa chanzo kinachoongoza cha mapato ya fedha za kigeni tangu mwaka [[1997]], wakati uliupita kahawa, na mwenendo uliendelea, isipokuwa miaka ya 1997-[[1998]].<ref name="Jolliffe146" />
 
===Mgogoro wa Kenya wa 2007-2008===
Kufuatia utata [[ya uchaguzi wa urais wa mwaka wa 2007]] na [[mgogoro wa Kenya 2007-2008]] uliofuata, mapato ya utalii ulitimazi kutoka asilimia 54 mwaka 2007 katika robo ya kwanza ya 2008.<ref name="re" /> Mapato yalishuka hadi shilingi bilioni 8.08 (dola milioni 130.5 za Amerika) kutoka shilingi bilioni 17.5 katika miezi ya Januari hadi Machi 2007 <ref name="re" /> na jumla ya watalii 130,585 waliwasili nchini Kenya ikilinganishwa na watalii 273,000 na mwaka huo.<ref name="dom">{{cite news |first=Wangui |last=Maina |authorlink= |coauthors= |title=Kenya: Domestic Tourists Help to Cushion Travel Sector |url=http://allafrica.com/stories/200804212006.html |work=[[Business Daily]] |publisher=AllAfrica.com |date=2008-05-05 |accessdate=2008-05-05}}</ref> Mapato ya Watalii kutoka Uchina, hata hivyo, ilishuka aslimia 10.7, ikilinganishwa na zaidi ya asilimia 50 kutoka mapato ya jadi ambao ni Marekani na Ulaya.<ref name="re" /> Utalii wa ndani pia uliboreshwa kwa asilimia 45, kuichuma sekta ya utalii shilingi bilioni 3.65 juu ya bilioni 8.08 kwa kipindi ambacho kilikuwa kinapitiwa.<ref name="dom" />
 
Utalii wa Mkutano ulisambaratika wakati wa robo ya kwanza kwa kuanguka kwa asilimia 87.4 ikilinganishwa na ongezeko lililoshuhudiwa mwaka wa 2007.<ref name="dom" /> Watu 974 waliowasili nchini Kenya katika kipindi hicho kwa ajili ya mikutano waligundua kuwa mikutano hiyo ilikuwa imefutiliwa mbali.<ref name="dom" /> Biashara ya Kusafiri ilipungua kwa asilimia 21 wakati wa kipindi hicho na wasafiri 35,914 walikuja nchini ikilinganishwa na 45,338 katika kipindi kama hicho mwaka kabla.<ref name="dom" />
 
Licha ya hayo, Kenya ilishinda tuzo la Best Leisure Destination katika ramsa ya World Travel mjini [[Shanghai]], [[China]], mwezi Aprili 2008.<ref name="aa">{{cite news |first=Beatrice |last=Gachenge |authorlink= |coauthors= |title=Kenya: Country Scoops Top Tourism Award |url=http://www.afromix.org/html/voyages/index.en.html |work=[[Business Daily]] |publisher=AllAfrica.com |date=2008-04-21 |accessdate=2008-05-04 }}</ref> Katibu Mkuu wa [[Wizara ya Utalii]] nchini Kenya, [[Rebecca Nabutola,]], alisema kwamba "tuzo hili ni ushuhuda kwamba Kenya ina bidhabidhaa ya kipekee ulimwenguni ambayo ni ya utalii . Kutambuliwa kwa Kenya bila shaka kutainua utalii wa Kenya na kuongeza utambulisho wake kama sehemu inayoongoza ya kitalii .<ref name="aa" />
 
==Vivutio vya Wageniwageni==
===Mbuga za Kitaifa===
{{Main|Mbuga za Taifa la Kenya}}
Kenya imeorodheshwa miongoni mwa nchi zinazoongoza katika sekta ya wanyamapori zaidi ya miaka arobaini na inajulikana kote ulimwengu kwa ajili yake. Kuna hifadhi za taifa, mapori ya akiba na ya wanyama na kuonekana wakati mwingine havina uhai kimya na hata hivyo kuna wanyamapori wengi mno. Mashimo ya maji na mabwawa ni muhimu ambapo wanyama wanaweza kunywa maji ili kukata kiu.
 
====Mbuga ya kitaifa ya Amboseli====
Line 22 ⟶ 27:
Mbuga ya kitaifa ya Amboseli, ambayo zamani ilikuwa inaitwa hifadhi ya wanyama ya Maasai Amboseli, iko katika [[Wilaya ya Kajiado]], Mkoa wa Bonde la Ufa, nchini [[Kenya]]. Mbuga hii ina ukubwa wa eneo a eneo kilomita 390 katika msingi wa eneo a eneo kilomita 8,000 na inaenea mpakani mwa Kenya na Tanzania. Wenyeji wa sehemu hii ni [[Wamasai]], lakini watu kutoka maeneo mengine ya nchi wanakaa huko kwani walivutiwa na uchumi uliofanikiwa na ambao ulisababishwa na utalii na kilimo kabambe kandokando mifumo wa mabwabwa ambayo inaifanya eneo hii yenye mvua kidogo (wastani wa milimita 350) mmojawapo wa sehemu bora duniani kuwatazama wanyamapori. Mbuga hii hulinda mabwawa mawlili kwa matano ambayo yako, na inahusisha ziwa lililokauka la [[Pleistocene]] ziwa na mimea yenye ukame nusu .
 
====Mbuga ya Kitaifakitaifa ya Kora====
{{Main|Kora National Park}}
Mbuga ya kimataifa ya Kora iko [[Mkoani Pwani]], Kenya. Mbuga hii ina upana wa eneo a eneo wa kilomita 1787. Mbuga hii imejasisiwa kilomita 125 mashariki mwa [[Mlima Kenya]]. Awali mbuga hii ilijaridiwa kama [[hifadhi ya kiasili]] mwaka wa 1973. Ilijaridiwa kama [[mbuga ya kitaifa]] mwaka wa 1990, kufuatia mauaji ya [[George Adamson]] na [[wawindaji wanyama]].
 
====Mbuga ya Kitaifakitaifa ya Ziwa Nakuru====
{{Main|Lake Nakuru}}
Mbuga ya kitaifa ya Wanyama ya Ziwa Nakuru (eneo a eneo kilomita 188 ), liloanzishwa mwaka wa 1961 karibu na Ziwa Nakuru, liko karibu na mji wa Nakuru . Inajulikana sana kwa maelfu, na wakati mwingine mamilioni ya ndege wa aina ya flamingo wanaokusanyaka ufuoni mwa ziwa Nakuru. Wajihi wa ukame wa ziwa hili ni vigumu kujulikana kwa sababau ya flamingo wengi. Idadi ya flamingo katika ziwa hutegemea maji na hali ya chakula. Pahali bora kuwatazama ndege hawa ni juu ya muinuko unaoitwa ''Baboon Cliff'' . Kivutio kingine ni eneo la eneo a eneo kilomita 188 lilo kandokando la ziwa hilo na limezingirwa kwa ukuta kuwalinda wanyama walio katika hatari ya kuangamia kama twiga wa Rothschild na Vifaru weusi.
[[File:KE-Nakuru.jpg|300px|thumb|left|A Flamingo kupotea mbali na kundi lake Ziwa Nakuru nchini Kenya]]
Mbuga ya kitaifa ya Wanyama ya Ziwa Nakuru (eneo a eneo kilomita 188 ), liloanzishwa mwaka wa 1961 karibu na Ziwa Nakuru, liko karibu na mji wa Nakuru . Inajulikana sana kwa maelfu, na wakati mwingine mamilioni ya ndege wa aina ya flamingo wanaokusanyaka ufuoni mwa ziwa Nakuru. Wajihi wa ukame wa ziwa hili ni vigumu kujulikana kwa sababau ya flamingo wengi. Idadi ya flamingo katika ziwa hutegemea maji na hali ya chakula. Pahali bora kuwatazama ndege hawa ni juu ya muinuko unaoitwa ''Baboon Cliff'' . Kivutio kingine ni eneo la eneo a eneo kilomita 188 lilo kandokando la ziwa hilo na limezingirwa kwa ukuta kuwalinda wanyama walio katika hatari ya kuangamia kama twiga wa Rothschild na Vifaru weusi.
 
====Mbuga ya kitaifa ya Mlima Kenya====
Line 65 ⟶ 69:
{{Main|Nairobi National Park}}
Mbuga ya kitaifa ya Nairobi [[mbuga]] nchini [[Kenya]]. Ilikuwa mbuga ya kwanza nchini Kenya ilipoanzishwa mwaka wa 1946. Iko takriban [[kilomita]] 7 kusini mwa katikati mwa [[Nairobi]], mji mkuu wa Kenya, na ni ndogo ikilinganishwa na mbuga zingine za wanyama barani Afrika. Majumba marefu jijini Nairobi yaweza kuonekana kutoka kwenye mbuga. Mbuga hii ina wanyama pori wengi tofauti .<ref name="Riley">[[Riley 2005,]] p.90</ref> Ni ugo tu unaotenganisha mbuga hii ya wanyama kutoka mji mkuu.<ref name="Prins143">[[Prins 2000]], p.143</ref> Wanyama wakulao mimea hujaa sana katika mbuga hii wakati [[wa kiangazi]]. Ni mojawapo ya makimbilio ya vifaru yaliyofanikiwa sana nchini Kenya. Mbuga hii ipo karibu na jiji la Nairobi. Hii husababisha mgogoro baina ya wanyama na wananchi na pia hutishia uhamaji wa wanyama.
 
====Mbuga ya Aberdare====
Mbuga ya wanyama ya Aberdare ina latitudo ya mita 1829 hadi 4001 juu ya usawa wa bahari na iko katika ardhi kati kusini-magharibi ya wa Mlima Kenya.Ilifanywa rasmi Mei 1950 kama hifadhi na misitu ya inchi. Hifadhi ina hewa njema iliyo tulivu na yenyemazingira mufti na mvua kubwa inayonyesha kwa njia mwaka nenda mwaka rudi.
 
====Mbuga ya Maasai Mara====
[[Hifadhi ya Masai Mara]] ni mojawapo ya maskani bora zaidi ambapo wanyama pori wengi wamehifadhiwa. Hapa ndipo wanyama wenye kutambulika zaidi kama ‘watano wakubwa’ wanaishi zaidi-simba, chui, ndovu, nyati na kiboko. Hapa watalii hasa watoto hufurahishwa sana na mazingira na maajabu mengi watakayo yaona.
 
====Hifadhi ya wanyama Meru====
Hifadhi hii imekuwa yenye shughuli kabambe na yenye watalii chungu mzima waliofurika furi furi ili kujionea maajabu ya Mlima Kenya. Huku kuna wanyama wengi si haba ambao hutoka misituni iliyokaribia Mlima Kenya. Hapa watalii huzuru ili kuikwea milima na kuipata hewa safi.
 
====Mbuga ya Samburu====
Samburu ni "nchi huru" ambapo [[Joy Adamson]] alikasirishwa mno na simba. Hii imeifanya mbuga hii kuwa maarufu sana na kuwafanya watalii wengi kutaka kuizuru. Watalii pia huvutiwa mno na tamaduni za wasamburu ambao mavazi na mienendo yao ya kitamaduni huvutia sana.
 
====Mbuga ya Tsavo Mashariki====
Tsavo Mashariki hujumlisha eneo la mraba 13,747 Km ziko katika Mashariki ya Kusini upande wa Kenya Mazingira mufti ndiyo yanayowavutia watu zaidi kuzuru mbuga hii. Baadhi ya mambo yanayopendeza ni Mto Tana, ufo wa bahari, makazi ya viboko, hifadhi ya tembo, joto na hali ya anga yenye kupendeza na sehemu zingine mbalimbali
 
===Fukwe===
Kenya na Tanzania zina ukanda wa pwani nzuri na mwanga wa jua kwa njia ya nje ya mwaka hata wakati wa mvua.Wengi wa wenyeji kwa kuchukua hiyo fukwe ni tupu isipokuwa kwa mapumziko ya kitaifa katika nchi zote mbili. Hivyo unaweza kutumia muda katika pwani ya umma na kujisikia kama ni saa ya kipekee pwani. Ni pwani ya Kenya na hoteli ya doted beach kadhaa kwamba mtu anaweza kuchagua.
 
===Matembezi nchini Kenya===
Matembezi nchini Kenya ni ya kufana kwa na huwavutia watalii chungu mzima mwakani. Matembezi haya yepo katika mji wa Nairobinjiani ya Lang’ata karibu na malazi ya wanyama ya Nairobi. Katika matembezi haya utaweza kujioea mengi kwani kutembea kwingi ni kuona mengi, pia utaweza kuushuhudia utamaduni wa wakenya ulionata kama gudi na kuyaona mazingira mema yenye kufana.
 
=== Utamaduni wa Wakenya ===
Jamii ya wamaasai ni baadhi ya koo zinazofuatilia mno tamaduni na asili zao za jadi.Mabadiliko ya kizazi na pengo katika utamaduni bado zinaadhiri mitindo ya maisha. Hata hivyo jamii ya wamaasai imejua bayana kwamba mwacha mila ni mtumwa na hivyo kuhifadhi tamaduni zao kupitia mavazi ambayo ni vikoi na leso na viatu vya jadi,maisha yao ambayo ni ya ufugaji wa ng’ombe na lugha yao ya Kimaasai.
 
Wakikuyu nao hawajaachwa nyuma katika kuhifadhi na kukumbatia tamaduni zao ambapo siku baada ya nyingine wao hunywa mvinyo waop wa jadi aina ya karubu, huwatafutia binti zao wachumba na kuwatahiri vijana wao kwa karamu zenye raha na bashasha tele.
 
==Hoteli==
Kuna hoteli mbalimbali za kufana mno ambazo huwa na hali tofauti katika mazingira na hata kwenye fulusi utakazotumia kugharamia ada yako. Baadhi ya hoteli zenye sifa tele ni Intecontinental, Hilton, Winsor, Safari Park na Norfolk zilizo katika mji wa Nairobi. Hapa maliponi ya kiasi cha juu lakini huduma yao ni ya hali ya juu sana
 
Nakuru na Mombasa pia kuna hoteli za kufana ambapo vyakula vya asili na vile vya kisasa pia hupikwa. Watalii wengi hufurahia sana kukaa huku kwa sababu ya bahari na maziwa yaliyoko katika maeneo haya.
 
==Habari ya Watalii==
Watalii katika nchi nyingi wanahitajika kuwa na [[pasipoti]] na [[visa]]. Watalii hawa hushauriwa kupata [[chanjo]] dhidi ya [[malaria]] na [[homa ya manjano ]].<ref name="ne" />
 
Bodi ya Utalii ya Kenya, au KTB, ni shirika la [[serikali]] ambao hutafutia soko nchikwa yawatalii Kenyawanaosafiria kwanchi wataliiya wanaosafiriKenya.<ref name="Jolliffe146" /> Maoni ya sekta ya kibinafsi zinachapishwa na Wizara ya Utalii, ambayo inafanya kazi unyounyo na KNB.<ref name="Jolliffe146" /> Wizara ya Utalii lina jukumu la kushauri KNB na kufungua bodi katika wizara zinazohusiana na aina maalum za utalii.<ref name="Jolliffe146" />
 
==Takwimu==
Line 75 ⟶ 110:
<ref name="ne" />
 
==MarejeleoMarejeo==
{{Marejeo}}
 
Line 91 ⟶ 126:
* [http://www.kws.org/ Kenya Wildlife Service]
* [http://www.museums.or.ke/ National Museums of Kenya]
# http://www.royaltoursafrica.com/data/attractions/specific/Maasai_Mara_Game_Reserve.vrt
# http://www.tourism.go.ke/
# http://en.wikipedia.org/wiki/Tourism_in_Kenya
# http://web.archive.org/web/20061230202343/http://whc.unesco.org/pg.cfm?cid=31&id_site=800
# http://www.jambokenya.com/jambo/kenya/econ05.htm
# http://www.ecotourismkenya.org/
# http://www.africaguide.com/country/kenya/accom.htm
# http://www.hmnet.com/africa/kenya/ke_tourist/ke_hotels.html
# http://www.kenyabeach.com/
 
{{Economy of Kenya}}
Line 96 ⟶ 140:
{{Africa topic|Utalii nchini}}
 
[[Jamii:Utalii nchiniwa Kenya]]
[[Jamii:Kenya]]
[[Jamii:Usafiri wa Kenya]]
[[Jamii:Uchumi wa Kenya]]