Utalii nchini Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 72:
Mbuga ya kitaifa ya Nairobi [[mbuga]] nchini [[Kenya]]. Ilikuwa mbuga ya kwanza nchini Kenya ilipoanzishwa mwaka wa 1946. Iko takriban [[kilomita]] 7 kusini mwa katikati mwa [[Nairobi]], mji mkuu wa Kenya, na ni ndogo ikilinganishwa na mbuga zingine za wanyama barani Afrika. Majumba marefu jijini Nairobi yaweza kuonekana kutoka kwenye mbuga. Mbuga hii ina wanyama pori wengi tofauti .<ref name="Riley">[[Riley 2005,]] p.90</ref> Ni ugo tu unaotenganisha mbuga hii ya wanyama kutoka mji mkuu.<ref name="Prins143">[[Prins 2000]], p.143</ref> Wanyama wakulao mimea hujaa sana katika mbuga hii wakati [[wa kiangazi]]. Ni mojawapo ya makimbilio ya vifaru yaliyofanikiwa sana nchini Kenya. Mbuga hii ipo karibu na jiji la Nairobi. Hii husababisha mgogoro baina ya wanyama na wananchi na pia hutishia uhamaji wa wanyama.
 
====MbugaHifadhi ya Taifa ya Aberdare====
{{main|Hifadhi ya Taifa ya Aberdare}}
Mbuga ya wanyama ya Aberdare ina latitudo ya mita 1829 hadi 4001 juu ya usawa wa bahari na iko katika ardhi kati kusini-magharibi ya wa Mlima Kenya.Ilifanywa rasmi Mei 1950 kama hifadhi na misitu ya inchi. Hifadhi ina hewa njema iliyo tulivu na yenyemazingira mufti na mvua kubwa inayonyesha kwa njia mwaka nenda mwaka rudi.
Hifadhi ya Taifa ya Aberdare ina [[latitudo]] ya [[mita]] 1829 hadi 4001 juu ya [[usawa wa bahari]] na iko katika ardhi kati ya [[kusini]]-[[magharibi]] kwa [[Mlima Kenya]].
 
Ilianzishwa rasmi mnamo Mei [[1950]] kama hifadhi ya [[misitu]] ya nchi. Hifadhi ina [[hewa]] njema iliyo tulivu na yenye [[mazingira]] murua na [[mvua]] kubwa inayonyesha mwaka nenda mwaka rudi.
 
====Mbuga ya Maasai Mara====