Utalii nchini Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 20:
==Vivutio vya wageni==
===Mbuga za Kitaifa===
{{Main|MbugaOrodha ya Hifadhi za Taifa lanchini Kenya}}
Kenya imeorodheshwa miongoni mwa nchi zinazoongoza katika sekta ya wanyamapori zaidi ya miaka arobaini na inajulikana kote ulimwengu kwa ajili yake. Kuna hifadhi za taifa, mapori ya akiba na ya wanyama na kuonekana wakati mwingine havina uhai kimya na hata hivyo kuna wanyamapori wengi mno. Mashimo ya maji na mabwawa ni muhimu ambapo wanyama wanaweza kunywa maji ili kukata kiu.
 
Mstari 40:
 
====Mbuga ya kitaifa ya Mlima Kenya====
{{Main|MountHifadhi Kenyaya NationalTaifa Parkya Mlima Kenya}}
Mbuga wa kitaifa wa Mlima Kenya {{coord|0|07|26|S|37|20|12|E|}}, uliyoanzisha mwaka wa [[1949]], hulinda kanda inayozunguka [[Mlima Kenya]]. Awali ilikuwa ni hifadhi ya misitu kabla kutanganzwa kama mbuga ya kitaifa. Hivi sasa ni Mbuga ya kitaifa ndani ya hifadhi ya misitu ya ambayo imeizunguka .<ref name="kws_website">{{cite web
|url= http://www.kws.org/mt-kenya.html
Mstari 71:
 
====Mbuga ya Kitaifa ya Nairobi====
{{Main|NairobiHifadhi Nationalya ParkTaifa ya Nairobi}}
Mbuga ya kitaifa ya Nairobi [[mbuga]] nchini [[Kenya]]. Ilikuwa mbuga ya kwanza nchini Kenya ilipoanzishwa mwaka wa 1946. Iko takriban [[kilomita]] 7 kusini mwa katikati mwa [[Nairobi]], mji mkuu wa Kenya, na ni ndogo ikilinganishwa na mbuga zingine za wanyama barani Afrika. Majumba marefu jijini Nairobi yaweza kuonekana kutoka kwenye mbuga. Mbuga hii ina wanyama pori wengi tofauti .<ref name="Riley">[[Riley 2005,]] p.90</ref> Ni ugo tu unaotenganisha mbuga hii ya wanyama kutoka mji mkuu.<ref name="Prins143">[[Prins 2000]], p.143</ref> Wanyama wakulao mimea hujaa sana katika mbuga hii wakati [[wa kiangazi]]. Ni mojawapo ya makimbilio ya vifaru yaliyofanikiwa sana nchini Kenya. Mbuga hii ipo karibu na jiji la Nairobi. Hii husababisha mgogoro baina ya wanyama na wananchi na pia hutishia uhamaji wa wanyama.
 
Mstari 80:
Ilianzishwa rasmi mnamo Mei [[1950]] kama hifadhi ya [[misitu]] ya nchi. Hifadhi ina [[hewa]] njema iliyo tulivu na yenye [[mazingira]] murua na [[mvua]] kubwa inayonyesha mwaka nenda mwaka rudi.
 
====Mbuga ya MaasaiMasai Mara====
[[Hifadhi ya Masai Mara]] ni mojawapo ya maskani bora zaidi ambapo wanyama pori wengi wamehifadhiwa. Hapa ndipo wanyama wenye kutambulika zaidi kama ‘watano wakubwa’ wanaishi zaidi-simba, chui, ndovu, nyati na kiboko. Hapa watalii hasa watoto hufurahishwa sana na mazingira na maajabu mengi watakayo yaona.
 
====Hifadhi ya wanyamaTaifa ya Meru====
{{main|Hifadhi ya Taifa ya Meru}}
Hifadhi hii imekuwa yenye shughuli kabambe na yenye watalii chungu mzima waliofurika furi furi ili kujionea maajabu ya Mlima Kenya. Huku kuna wanyama wengi si haba ambao hutoka misituni iliyokaribia Mlima Kenya. Hapa watalii huzuru ili kuikwea milima na kuipata hewa safi.
 
====Mbuga ya Samburu====
{{main|Hifadhi ya Taifa ya Samburu}}
Samburu ni "nchi huru" ambapo [[Joy Adamson]] alikasirishwa mno na simba. Hii imeifanya mbuga hii kuwa maarufu sana na kuwafanya watalii wengi kutaka kuizuru. Watalii pia huvutiwa mno na tamaduni za wasamburu ambao mavazi na mienendo yao ya kitamaduni huvutia sana.
 
Line 102 ⟶ 104:
 
=== Utamaduni wa Wakenya ===
Jamii ya wamaasai[[Wamasai]] ni baadhi ya koo zinazofuatilia mno tamaduni na asili zao za jadi. Mabadiliko ya kizazi na pengo katika utamaduni bado zinaadhirizinaathiri mitindo ya maisha. Hata hivyo jamii ya wamaasai imejua bayana kwamba mwacha mila ni mtumwa na hivyo kuhifadhi tamaduni zao kupitia mavazi ambayo ni vikoi na leso na viatu vya jadi,maisha yao ambayo ni ya ufugaji wa ng’ombe na lugha yao ya Kimaasai.
 
[[Wakikuyu]] nao hawajaachwa nyuma katika kuhifadhi na kukumbatia tamaduni zao ambapo siku baada ya nyingine wao hunywa mvinyo waop wa jadi aina ya karubu, huwatafutia binti zao wachumba na kuwatahiri vijana wao kwa karamu zenye raha na bashasha tele.
 
==Hoteli==