Nguo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuongeza baadhi ya maneno
No edit summary
Mstari 1:
 
 
[[File:Simple-textile-magnified.jpg|thumb|Kitambaa kilivyoshonwa.]]
[[File:P1080828.JPG|thumb|thumb|right|[[Duka]] la nguo huko [[Mukalla]], [[Yemen]]]]
'''Nguo''' ni [[kitambaa]] ambacho kinaweza kutumika kufunikia [[meza]], [[kitanda]] n.k. lakini hasa kutengenezea [[mavazi]] mbalimbali yanayovaliwa na [[Binadamu|mtu]] kwa ajili ya kujisitiri, kwa sababu ya kutunza [[heshima]] yake na kujikinga dhidi ya [[baridi]], [[jua]], [[mvua]] n.k. Ndiyo sababu mara nyingi [[neno]] "nguo" linamaanisha mavazi yenyewe.
 
Nguo huvaliwa kulingana na [[hali ya hewa]] na [[mazingira]] fulani, lakini pia kulingana na [[mitindo]] inayobadilikabadilika kadiri ya nyakati. Wakati mwingine neno "nguo" linataja pia mavazi yenyewe.
 
== [[Tanbihi]] ==
{{Reflist|30em}}