Mwenye heri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Sebastiano Ricci 023.jpg|thumb|"Utukufu wa mwenye heri" ulivyochorwa na Sebastiano Ricci miaka [[1693]]-[[1694]] huko [[Bologna]] ([[Italia]]).]]
'''Mwenye heri''' ni [[jina]] la [[heshima]] analopewa [[Ukristo|Mkristo]] wa [[Kanisa Katoliki]] baada ya kufa na ya kufanyiwa [[kesi]] makini kuhusu [[ushujaa]] wa [[maadili]] yake yote na juu ya [[muujiza]] mmoja uliofanywa na [[Mungu]] kwa [[maombezi]] yake baadasifa ya [[kifo]]utakatifu chakealilonalo.
 
Kwa [[mfiadini]] inatosha kushuhudia kwa hakika kwamba aliuawa kwa ajili ya [[imani]] au [[adili]] lingine.
 
Kwa [[Wakatoliki]] wengine unatakiwa [[ushujaa]] wa [[maadili]] yake yote, hasa [[Maadili ya Kimungu|yale ya Kimungu]] na [[maadili bawaba]], [[sala]] na [[unyenyekevu]].
 
Mwaka [[2017]] [[Papa Fransisko]] aliongeza uwezekano wa mtu kutangazwa mwenye heri kutokana na [[tendo la kishujaa]] la kuhatarisha [[uhai]] wake na kufupisha [[maisha]] yake kwa sababu ya [[upendo]].
 
Njia hizo zote [[tatu]] zinatakiwa kuthibitishwa na [[muujiza]] mmoja uliofanywa na [[Mungu]] kwa [[maombezi]] ya [[Mtumishi wa Mungu|mtumishi wake]] baada ya [[kifo]] chake.
 
Asili ya hatua hiyo ni [[karne XIV]] ambapo [[Papa]] alianza kukubali [[marehemu]] aheshimiwe kwa namna ya pekee mahali fulani au katika shirika fulani kabla kesi ya kumtangaza [[mtakatifu]] kwa [[Kanisa]] lote haijakamilika.
Line 11 ⟶ 17:
 
[[Jamii:Kanisa Katoliki]]
[[Jamii:Watakatifu Wakristo]]