Ini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Liver 01 animation1.gif|alt=Ini|thumb|255x255px|Ini]]
'''Ini''' ni [[kiungo]] cha [[mwili]], hasa wa [[binadamu]] na [[mnyama|wanyama]] wa hali ya juu.
 
Line 12 ⟶ 13:
 
== Magonjwa ya ini ==
Yapo magonjwa mengi ya ini. [[Magonjwa]] ya ini yanaweza kumfanya mtu aumwe sana sababu ya [[kazi]] zake muhimu za kiungo hicho. Yapo magonjwa mengi ya ini. Watu ambao wana magonjwa mabaya ya ini huwa wanakufa; ili kuokoa [[maisha]] yao wenyewe itawabidi kupandikiziwa ini jingine. Hii ni kwamba, ,ini kutoka kwala mtu mwingine ambaye amkufaamekufa huamishwa kwa mtu mwingine kwa [[upasuaji]]. Upasuaji huuhuo huwa na changamoto za kitaalamu lakini inaweza kupkoakuokoa maisha[[uhai]].
[[Picha:Liver 01 animation1.gif|alt=Ini|thumb|255x255px|Ini]]
Yapo magonjwa mengi ya ini. [[Magonjwa]] ya ini yanaweza kumfanya mtu aumwe sana sababu ya [[kazi]] zake muhimu. Watu ambao wana magonjwa mabaya ya ini huwa wanakufa; ili kuokoa maisha yao wenyewe itawabidi kupandikiziwa ini jingine.Hii ni kwamba ,ini kutoka kwa mtu mwingine ambaye amkufa huamishwa kwa mtu mwingine kwa [[upasuaji]].Upasuaji huu huwa na changamoto za kitaalamu lakini inaweza kupkoa maisha.
 
=== Dalili za magonjwa ya ini ===
[[Dalili]] za magonjwa ya ini hutokea kwasababukwa sababu ini halifanyi kazi inzotakiwainavyotakiwa:
 
Ini likishindwa kuyeyusha [[sumu]] na [[uchafu]] kwa hiyo, hivi vitu vichafu vitakaa kwenye [[damu]] kwa muda mrefu. Kitu kimoja ambacho kinajijenga ni [[bilirubini]] ([[dutu]] ya [[njano]] inayoipa [[nyongo]] [[rangi]] ya njano), [[seli nyekundu za damu]] zinapokufa, [[hemoglobini]] iliyopo kwenye hizo [[seli nyekundu za damu]] zikivuja kwenye damu [[hemoglobini]] huwa bilirubini. Ini huchukua bilirubini hiyo nje ya damu na kuweka kwenye nyongo, nyongo huenda kwenye [[utumbo]], kisha hutolewa nje pamoja na uchafu kutoka mwilini. Kama ini likipata matatizo, halitatoa bilirubini, kwa hiyo bilirubini itakaa mwilini,: hii hufanya mtu aonekane wanjano na inajulikana kama [[homa ya manjano]]. Kwa hiyo [[macho]] na [[ngozi]] kuwa ya njano ni dalili za magonjwa ya ini.
 
Dalili nyinginezo ni:
* Kutokwa damu kwa sababu ini halitengenezi [[protini ya ugandishaji]] ya kutosha
* Kuvimba mwili
* Kuchoka sana kwa sababu [[amonia]] ya ziada haiyeyushwi na ini
* kutokwaKutokwa damu kutoka kwenye [[vena]] kubwa zilizovimba
 
=== Aina za magonjwa ya ini ===
[[Homa ya ini]] (''hepatitis'' kwa [[kiingerezaKiingereza]] ''hepatitis''): hii hutokea kama seli za ini zikiugua. Hii inaweza kutokana na [[maambukizi ya virusi]]. Pia inaweza kusababishwa na [[sumu]]. Sumu kuu ambayo mara kwa mara husababisha hii ni [[kileo]] ([[pombe]]). Inaweza ikawa ki[[jenitikia]], au sababu za [[mfumo wa [[Kingamwili|kingakingamwili]] wenyewe.
 
[[Kusinyaa kwa ini]] (kwa Kiingereza ''cirrhosis'' kwa kiingereza): hii husababishwa na kufa kwa [[seli]] za ini ambao hutokea tena na tena. Kama seli za ini zikifa, [[tishu]] za ma[[kovu]] hujiunda. Hizi tishu huharibu muundo wa ini, hii hufanya ini lisifanye kazi vema. Lakini pia hufanya [[shinikizo]] kwenye [[vena]] ambayo huenda kwenye ini kubwa sana.
 
Unaweza pia kupata [[saratani]] ya ini. Hii inaweza ikawa saratani ya kuathiri sehemu nyinginezo ambayo inaweza kutokea kwenye sehemu nyingine kwenye mwili wako.
 
=== Tiba kwa magonjwa ya ini ===
Magonjwa mengine ya ini hutibika kirahisi kwa [[dawa]].
 
[[Virusi]] vingine vya ini vinaweza kuzuiwa kabla havijaanza kwa [[chanjo]].
 
Magonjwa mengine ya ini yanaweza tu kutibika kwa kupandikiza ini jingine.{{mbegu-anatomia}}
Virusi vingine vya ini vinaweza kuzuiwa kabla havijaanza kwa [[chanjo]].
 
{{mbegu-anatomia}}
Magonjwa mengine ya ini yanaweza tu kutibika kwa kupandikiza ini jingine.{{mbegu-anatomia}}
 
[[Jamii:Viungo vya mwili]]
[[Jamii:Ini]]