Sergio Sollima : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sergio Sollima
 
Sergio Sollima
Mstari 1:
'''Sergio Sollima''' (amezaliwa tar. [[27 Aprili]], [[1921]] mjini [[Roma]]) ni mwongozaji na mtunzii wa filamu wa zamani kutoka nchini [[Italia]].
 
Sollima alianza kuongoza filamu nyingi sana za mtindo wa sword na sandal ambazo zilitamba sana katika miaka ya [[1960s1960]]. Pamoja na kuvuma sana kwa mtindo huo wa sword na sanda, baadabaadae ulikuja kufa kabisaa ukawa hauna wapenzi kama ilivyokuwa awali. Kitendo hicho kilipelekea Sollima kuwa miongoni mwa waongozaji wa filamu wa kwanza kukimbilia katika [[filamu za western]] ya [[Italia]], maarufu kama [[spaghettiSpaghetti westernsWestern]].
 
Akiwa huko aliongoza filamu ya The Big Gundown (alicheza nyota [[Lee Vanvan Cleef]] na Tomas Milian) filamu ilitolewa mnamo mwaka wa [[1966]] ikiwa imepata mafanikio makubwa kabisa, licha ya ukweli uliopo filamu iliweza kushindana kidogo na filamu zilioongozwa na [[Sergio Leone]] The Good, the Bad and the Ugly na vile vile za mwongozaji [[Sergio Corbucci]] Django.
 
Baadae kidogo Sollima akatengeneza filamu zainginezingine mbili za [[Filamu za western|western]], Face to Face (nyota alikuwa Milian na Gian Maria Volonté) filamu ilitolewa mnamnamo mwaka [[1967]], kisha akatoa Run, Man, Run! (nyota alikuwa tena Milian) mnamo wmakamwaka wa [[1968]]. Japokuwa Sollima aliongoza filamu tatu za [[Filamu za western|westerns]] laikilakini vile vile hazikufikiahakufikia usawa ule wa filamu maarufu kama za mongozajiwaongozaji (Leone na Corbucci), kila mmoja katika hao wamekuwa miongoni mwa waongozaji wa filamu waliopata washabiki wengi wengi kuliko waongozaji wote wa [[filamu za western]].
==Filamu alioongozaalizoongoza Sollima==
* The Big Gundown (1966)
* Face to Face (1967)