Uji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Uji''' ni [[kinywaji]] kinachopikwa kwa
kuchemsha [[unga]] na [[maji]] ukawa laini.
 
 
== Maandalizi ya uji. ==
1.Weka [[maji]] kiasi kwenye [[sufuria]] au [[chungu]].
2.weka [[jikoni]].
3.weka [[unga]] kiasi.
4.Acha kwa muda wa dakika moja kisha ukikrogea hivyo hivyo mpaka utapoona mabuja yametoweka.
5.Acha kwa muda uji uchemke.dakika
6.epua uji wako,kisha uache upoe.
Uji wako utakuwa tayari kwa kunywa.