Alfred Nobel : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata) - The interwiki article is not featured |
dNo edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:AlfredNobel adjusted.jpg|thumb|right|Alfred Nobel]]
'''Alfred Nobel''' ([[21 Oktoba]] [[1833]] – [[10 Desemba]] [[1896]]) alikuwa mhandisi na mwenye viwanda wa nchi ya [[Sweden]]. Mwaka wa 1867 aligundua jinsi ya kutengeneza [[baruti]] kali. Pia aliboresha [[utoneshaji]] wa mafuta. Akafaulu kiuchumi akawa mtajiri na wakati uleule mwenye wasiwasi kuhusu matumizi ya baruti aliyogundua kwa sababu aliona matumizi mabaya kwa ajili ya silaha. Katika hati yake ya [[wasia]] alianzisha [[Tuzo ya Nobel]] kwa ajili ya mafanikio ya kisayansi lakini pia kwa ajili ya amani duniani.Na kuanzia ilipoanzishwa tuzo ya Nobel watu mbalimbali wametunukiwa tuzo hii
{{DEFAULTSORT:Nobel, Alfred}}
|