Kundinyota : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 62:
*[[Hutu (kundinyota)|Hutu]] (ing. [[:en:Pisces|Pisces]])
 
Katika unajimu wa siku hizi majina ya kimapokeo yamesahauliwa katika unajimu wa Afrika ya Mashariki na baadla yake wapiga falaki wanatumia orodha ya majina ambayo mara nyingi ni tafsiri ya majina ya Kiingereza tu au pia namna ya kutaja alama ya kundinyota kwa neno la Kiswahili. Majina katika unajimu wa kisasa jinsi yalivyo kawaida ni yafuatayo:
# Samaki (Pisces):Feb 19 – Machi 20
# Kondoo (Aries): Machi 21 – Aprili 19
# Ng’ombe (Taurus): Aprili 20 – Mei 21
# Mapacha (Gemini ): Mei 22 – Juni 20
# Kaa(Cancer): Juni 21 – Julai 22
# Simba (Leo): Julai 23 – Agosti 22
# Mashuke (Virgo):Agosti 23 – Sept 22
# Mizani (Libra): Sept 23 – Okt 22
# Ng’e (Scorpio): Okt 24- Nov 21
# Mshale (Sagittarius): Nov 22- Des 21
# Mbuzi (Capricorn):Des 22 – Jan 19
# Ndoo (Aquarius):Jan 20 – Feb 18
 
==Matumizi ya kundinyota katika astronomia==
 
Hata kama astronomiaAstronomia imeshatambua ya kwamba kundinyota hazipo hali halisi ni wazo tu tukitazama kutoka kwetu duniani; hali halisi hazipatikani angani bado unajimu inatangaza tofauti. Hata hivyo ni msaada wa kutaja eneo fulani kwenye anga. Kwa sababu hiyo [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]]
 
Hata kama astronomia imeshatambua ya kwamba kundinyota hazipo hali halisi ni wazo tu tukitazama kutoka kwetu duniani; hali halisi hazipatikani angani bado unajimu inatangaza tofauti.
 
==Marejeo==