Kundinyota : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 39:
3. Wasanii walichora picha kama ile ya juu upande wa kushoto (nyota kadhaa zilitiwa rangi katika makala hii kwa kuonekana vizuri zaidi si picha yenyewe). Hivyo katika mawazo ya watu wa kale katika tamaduni mbalimbali anga lilijaa mapepo au hasa miungu.<br/>
==Matumizi
Mfano mashuhuri ni nyota iliyo karibu na jua letu katika [[anga la ulimwengu]] ambayo ni [[Rijili Kantori]] hutajwa kama "[[Alpha Centauri]]" maana ni nyota iliyohesabiwa kama nyota ya kwanza katika eneo la kundinyota "Centaurus" (swa. [[Kantarusi (kundinyota)|Kantarusi]]).
Wanaastronomia wanatumia zaidi mfumo wa digrii zinazolingana na utaratibu wa [[latitudo]] na [[longitudo]] hapa duniani wakitaka kutaja mahali kamili pa nyota. Lakini hadi leo kindinyota ni msaada wa kujua eti nyota fulani au nyotamkia inapatikana katika eneo gani. Hii ni sawa na kusema "mji fulani uko kaskazini-magharibi ya Afrika" kabla ya kutaja kikamilifu mahali pake kwa longitudo na latitudo.
Mstari 76:
# Samaki (Pisces):Feb 19 – Machi 20
==Marejeo==
<references/>
[[Jamii:Astronomia]]
|