Uhusika milikishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Uhusika milikishi''' ''(en:Genitive)'' ni istilahi ya sarufi kwenye lugha za Kihindi-Kiulaya na nyingine inayotaja hali ya neno hasa nomino...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Uhusika milikishi''' ''([[:en:Genitive case]])'' ni istilahi ya [[sarufi]] kwenye [[lugha za Kihindi-Kiulaya]] na nyingine inayotaja hali ya neno hasa [[nomino]] kuwa mwenye nomino nyingine. Kwa Kiswahili hali hii inatajwa kwa kutumia -a kama kiunganishi mfano "nyumba ya Baba"; kwa Kilatini "domus patri" ambako "patri" ni uhusika milikishi ya "pater" (Baba). Kiingereza imeshapotea uhusika huu kinatumia "father's house". Kijerumani, Kigiriki na lugha za Kibaltiki zinaendelea kutumia uhusika milikishi.
 
Matumizi yake inaeleza badiliko ya umbo la neno katika majina ya kisayansi pale ambako majina yametoka katika lugha ya Kilatini au Kigiriki. Mfano ni majina ya nyota. Nyota angavu zaidi katika kundinyota ya "Centaurus" huitwa "Alfa Centauri" ilhali "centauri" ni uhusika milikishi ya "centaurus". Vile vile "Alfa Leonis" kwa nyota angavu katika kundinyota ya "Leo" (swa. [[Asadi (kundinyota)|Asadi]]).