Tofauti kati ya marekesbisho "Mshale (kundinyota)"

no edit summary
No edit summary
No edit summary
 
'''Kausi''' ni jina la [[kundinyota]] kwenye [[zodiaki]] inayojulikana pia kwa jina la Kilatini '''[[:en:Sagittarius (constellation)|Sagittarius]]'''<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Sagittarius" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Sagittarii" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Sagittarii, nk.</ref>.
 
Jinsi ilivyo kwenye kundinyota zote, [[nyota]] za Kausi hazikai pamoja hali halisi katika [[anga la nje]] lakini zinaonekana vile tu kutoka duniani. Hali halisi kuna umbali mkubwa kati yao. Kwa hiyo "Kausi" inataja eneo la angani jinsi inavyoonekana kutoka dunia.
 
==Jina==
 
==Sifa za pekee==
Jinsi ilivyo kwenye kundinyota zote [[nyota]] za Kausi hazikai pamoja hali halisi lakini zinaonekana vile tu kutoka duniani. Hali halisi kuna umbali mkubwa kati yao. Kwa hiyo "Kausi" inataja eneo la angani jinsi inavyoonekana kutoka dunia.
 
Katika eneo la Kausi wanaastronomia walitambua magimba ya angani kadhaa ya maana. Hizi ni pamoja na
*Alfa Sagittarii ambayo ni chanzo cha mawimbi ya redio; inaaminiwa ya kwamba mawimbi haya ni dalili za kuwepo kwa [[shimo cheusi]] kubwa sana