Kaa (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Cancer constellation map.png|350px|thumb|Ramani ya kundinyota Saratani]]
'''Saratani''' ni [[kundinyota]] ya [[zodiaki]] inayojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi la [[:en:Cancer (constellation)|Cancer]]<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Cancer" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Cancris" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Cancris, nk.</ref>. Ni moja ya kundinyota zinazotambuliwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>
 
Jinsi ilivyo kwenye kundinyota zote, nyota za Saratani hazikai pamoja hali halisi katika [[anga la nje]] lakini zinaonekana vile tu kutoka duniani. Hali halisi kuna umbali mkubwa kati yao. Kwa hiyo "Saratani" inataja eneo la angani jinsi inavyoonekana kutoka dunia.
 
==Jina==
Line 7 ⟶ 9:
 
Katika unajimu wa kisasa katika Afrika ya Mashariki jina "Saratani" limesahauliwa ikiwa kundinyota inaitwa kwa tafsiri tu "Kaa".
 
Katika vitabu kadhaa vya shule jina la Saratani limetumiwa kutaja sayari ya [[Zohali]] kwa kulichanganya na matamshi ya jina la Kiingereza "Saturn".
 
== Mahali pake ==
Line 18 ⟶ 22:
 
==Marejeo ==
* ''Star Names: Their Lore and Meaning'', by Richard Hinckley Allen, Dover. ISBN 978-0-486-21079-7
* Ian Ridpath and Wil Tirion (2007). ''Stars and Planets Guide'', Collins, London. ISBN 978-0007251209. Princeton University Press, Princeton. ISBN 978-0-691-13556-4.
* ''Dictionary of Symbols'', by Carl G. Liungman, W. W. Norton & Company. ISBN 978-0-393-31236-2
* Richard Hinckley Allen: Star-Names and their Meanings; kwa G. E. Stechert New York, Leipzig, London, Paris 1899, ukurasa 107 ff ([https://ia801402.us.archive.org/14/items/starnamesandthe00allegoog/starnamesandthe00allegoog.pdf online kwenye archive.org])
* Jan Knappert, 1993: The Swahili Names of Stars, Planets and Constellations; The Indian Ocean Review September 1993 Volume 6 No. 3 September 1993, kurasa 6-7, ISSN 1031-2331
 
==Viungo vya Nje==