Mizani (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 5:
 
==Jina==
Jina la Kiswahili ni Mizani latokana na Kiarabu <big>ميزان </big> ''mizan'' ambalo linamaanisha "mizanmizani". Jina hili lilipokelewa na Waarabu kutoka kwa [[Waroma wa Kale]] waliosema Libra ("mizani"). Kati ya mataifa ya kale mara nyingi nyota za Mizani zilihesabiwa kuwa sehemu ya [[Akarabu (kundinyota|Akarabu]], pamoja na kuangaliwa kama kundi la pekee.<ref> Hinkley, Star-names and their meanings 269 ff </ref>
 
Katika unajimu wa kisasa katika Afrika ya Mashariki jina "Mizani" ni jina la pekee la kale linaloendelea kutumiwa kwa kutaja kundinyota za Zodiaki ilhali zote nyingine zilipewa majina tofauti katika miaka iliyopita