Uhusika milikishi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Uhusika milikishi''' ''([[:en:Genitive case]])'' ni istilahi ya [[sarufi]] kwenyeza [[lugha za Kihindi-Kiulaya]] na nyinginenyinginezo inayotaja hali ya [[neno]], hasa [[nomino]], kuwa mwenyena nomino nyingine. Kwa Kiswahili hali hii inatajwa kwa kutumia -a kama kiunganishi mfano "nyumba ya Baba"; kwa Kilatini "domus patri" ambako "patri" ni uhusika milikishi ya "pater" (Baba). Kiingereza imeshapotea uhusika huu kinatumia "father's house". Kijerumani, Kigiriki na lugha za Kibaltiki zinaendelea kutumia uhusika milikishi.
 
Katika [[Kiswahili]] hali kama hii inatajwa kwa kutumia -a kama kiunganishi, kwa mfano "nyumba ''ya'' baba"; kwa [[Kilatini]] "domus patri" ambako "patri" ni uhusika milikishi wa "pater" (baba). [[Kiingereza]] imeshapotewa na uhusika huu, hivyo kinatumia "father'''s'' house". Kwa [[Kijerumani]], [[Kigiriki]] na [[lugha za Kibaltiki]] zinaendelea kutumia uhusika milikishi.
Matumizi yake inaeleza badiliko ya umbo la neno katika majina ya kisayansi pale ambako majina yametoka katika lugha ya Kilatini au Kigiriki. Mfano ni majina ya nyota. Nyota angavu zaidi katika kundinyota ya "Centaurus" huitwa "Alfa Centauri" ilhali "centauri" ni uhusika milikishi ya "centaurus". Vile vile "Alfa Leonis" kwa nyota angavu katika kundinyota ya "Leo" (swa. [[Asadi (kundinyota)|Asadi]]).
 
Matumizi yake inaelezayanaeleza badiliko yala [[umbo]] la neno katika [[majina ya kisayansi]] pale ambakoambapo majina yametoka katika [[lugha]] ya Kilatini au Kigiriki. Mfano ni majina ya [[nyota]]. Nyota angavu zaidi katika [[kundinyota]] ya "[[Kantarusi|Centaurus]]" huitwa "[[Alfa Centauri]]" ilhali "centauriCentauri" ni uhusika milikishi yawa "centaurus". Vile vile "Alfa Leonis" kwa nyota angavu katika kundinyota ya "Leo" (swa"Simba", taz. [[Asadi (kundinyota)|Asadi]]).
 
[[jamii:Sarufi]]