Shuke : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
<sup>Kwa matumizi ya neno hili kutaja kundinyota angalia [[Nadhifa (kundinyota)]]</sup>
 
[[Picha:Getreide.jpg|thumb|300px|Mashuke yasiyoiva bado ya [[shayiri]], [[ngano]] na [[ngano nyekundu]]]]
'''Shuke''' (pia: '''suke''', ing. ''[[:en:ear (botany)|ear]]'') ni sehemu ya [[shina]] ya [[mmea]] wa [[nafaka]] penye mbegu, kama vile [[mtama]], [[mpunga]] au [[ngano]] penye mbegu. Kwahiyo ni sehemu yenye zao la nafaka.