Parsek : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 13:
 
Wanaastronomia hupendelea kutaja umbali kwa parsek kuliko miaka ya nuru.
 
==Parsek na Kiloparsek==
* Parsek inalingana na takriban miaka ya nuru 3.26
* Nyota iliyo karibu zaidi na Jua letu ni [[Proxima Centauri]], sehemu ya mfumo wa Alpha Centauri ([[Rijili Kantori]]) ina umbali wa parsek 1.30 ([[miaka ya nuru]] 4.24)
* Umbali wa [[fungunyota]] ya [[Kilimia]] ni 130±10 pc (miaka ya nuru 420±32.6)
* Kitovu cha [[Njia Nyeupe]] (galaksi yetu) kina umbali wa kiloparsek 8 (miaka ya nuru 26.000) kutoka Dunia; Njia Nyeupe huwa na kipenyo cha takriban 34 kpc (miaka ya nuru 110.000)
* [[Galaksi]] jirani ya [[Andromeda]] iko kwa umbali wa 780 kpc (miaka ya nuru milioni 2.5) kutoka Dunia
 
 
 
[[Category:Astronomia]]