Parsek : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 15:
 
==Parsek na Kiloparsek==
Umbali kati ya nyota jirani hutajwa kwa Parsek. kama umbali unazidi parsek 1,000 kizio cha Kiloparsek inatumiwa, kama kutaja umbali kati ya sehemu tofauti ya galaksi moja au ndani ya kundi la galaksi.
 
* Parsek inalingana na takriban miaka ya nuru 3.26
* Nyota iliyo karibu zaidi na Jua letu ni [[Proxima Centauri]], sehemu ya mfumo wa Alpha Centauri ([[Rijili Kantori]]) ina umbali wa parsek 1.30 ([[miaka ya nuru]] 4.24)
Line 21 ⟶ 23:
* [[Galaksi]] jirani ya [[Andromeda]] iko kwa umbali wa 780 kpc (miaka ya nuru milioni 2.5) kutoka Dunia
 
==Megaparsek na gigaparsek==
Umbali wa milioni moja parsek huitwa Megaparsek (Mpc). Umabli kati ya galaksi au kati ya makundi ya galaksi hutajwa kwa megaparsek. Zaidi ya megaparsek 1,000 hutajwa kwa Gigaparsek (Gpc). Gigaparsek 1 inalingana na miaka ya nuru blioni 3.26
 
Mifano
* Galaksi ya Andromeda iko takiban 0.78 Mpc (miaka ya nuru 2.5) kutoka Dunia.
* Kundi la galaksi lililo karibu (Virgo Cluster) iko kwa umbali wa 16.5 Mpc (miaka ya nuru 54) kutoka dunia <ref>[http://adsabs.harvard.edu/abs/2007ApJ...655..144M The ACS Virgo Cluster Survey. XIII. SBF Distance Catalog and the Three-dimensional Structure of the Virgo Cluster], tovuti ya Chuo kikuu cha Harvard, iliangaliwa julai 2017</ref>
* Galaksi ya RXJ1242-11 iliyo na shimo jeusi kubwa kama Njia Nyeupe huwa na umbali wa takriban 200 Mpc (miaka ya nuru milioni 650) kutoka Dunia
* Upeo wa mwisho wa ulimwengu unaoweza kutazamiwa unakadiriwa kuwa na nusukipenyo cha 14.0 Gpc <ref>[https://web.archive.org/web/20110810231727/http://www.scientificamerican.com/article.cfm?id=misconceptions-about-the-2005-03&page=5 Misconceptions about the Big Bang], tovuti ya Scientific American March 2005, kupitia tovuti ya archive.org, ilitazamiwa Julai 2017</ref>
 
==Tanbihi==
<references/>
 
[[Category:Astronomia]]