Proxima Centauri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Picha:Alpha, Beta and Proxima Centauri (1).jpg|400px|thumb|Nyota mbili angavu ni Alpha na Beta Centauri; nyota hafifu katika duara nyekundu ni Alpha Centauri...'
 
No edit summary
Mstari 10:
Proxima Centauri ni [[nyota kibete nyekundu]] inayofuata wenzake Alfa Centauri A na B kwa umbali mkubwa unaobadilika kati ya [[vizio astronomia]] 5,270 hadi 12,900. Uanganvu uanonekana ni 11.05 mag ilitambuliwa mwaka 1915 tu. Kipenyo chake ni kilomita 200,000 na hii sehemu ya saba ya kipenyo cha Jua letu, au mara mbili kipenyo cha sayari [[Mshtarii]]. Masi yake ni asilimia 12,3 % za masi ya Jua.
 
Mwaka 2016 sayari moja ilitambuliwa inayozunguka Proxima Centauri kwa umbali wa vizio astronomia 0.05 katika kipindi cha siku 11 za Dunia. Masi yake ni takriban mara 1.5 ya Dunia.<ref>[http://www.eso.org/public/news/eso1629/ Planet Found in Habitable Zone Around Nearest Star Pale Red Dot campaign reveals Earth-mass world in orbit around Proxima Centauri], tovuti ya [[ESA]], iliangaliwa Julai 207</ref>
 
==Tanbihi==
<references/>
 
==Viungo vya Nje==