Kondoo (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Hamali''' ni [[kundinyota|kundinyota]] ya [[zodiaki]] inayojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi la [[:en:Aries constellation|Aries]]<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Aries" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Arietis" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Arietis, nk.</ref>. Hamali pia ni jina la kimataifa kwa nyota angavu zaidi kati kundinyota hii.
 
[[Nyota]] za kundinyotaHamali huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa uhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali au jirani nasi.
Kwa hiyo kundinyota "Hamali" inaonyesha eneo la angani jinsi tunavyoiona kutoka Duniani.