Tofauti kati ya marekesbisho "Kaa (kundinyota)"

no edit summary
'''Saratani''' ni [[kundinyota]] ya [[zodiaki]] inayojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi la [[:en:Cancer (constellation)|Cancer]]<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Cancer" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Cancris" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Cancris, nk.</ref>. Ni moja ya kundinyota zinazotambuliwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>
 
Jinsi ilivyo kwenye kundinyota zote, nyota[[Nyota]] za Saratani hazikaihuwa haziko pamoja hali halisi katika [[anga la nje]]kihalisi lakini zinaonekana vile tu vile kutoka duniani. HaliKwa halisiuhalisi kuna umbali mkubwa kati yao., Kwakama hiyoziko "Saratani"mbali inatajaau eneojirani lanasi. angani jinsi inavyoonekana kutoka dunia.
Kwa hiyo kundinyota "Saratani" inaonyesha eneo la angani jinsi tunavyoiona kutoka Duniani.
 
==Jina==
Jina la Kiswahili ni Saratani latokanana linatokana na Kiarabu <big>سرطان </big> ''sartan'' linalomaanisha kaa. Jina hili lilipokelewa na Waarabu kutoka kwa [[Wagiriki wa Kale]] waliosema Καρκίνος ''karnikos'' kwa maana hiyohiyo na hao walipokea tayari kundinyota hii tayari kutoka [[Babeli]] lakini Wabebli waliiona kama alama ya kobe ya maji.
 
Katika unajimu wa kisasa katika Afrika ya Mashariki jina "Saratani" limesahauliwa ikiwa kundinyota inaitwa kwa tafsiri tu "Kaa".