Mizani (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Mizani''' ni [[kundinyota|kundinyota]] ya [[zodiaki]] inayojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi la [[:en:Libra constellation|Libra]]<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Libra" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Librae" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Librae, nk.</ref>. Ni moja ya kundinyota zinazotambuliwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>
 
Jinsi ilivyo kwenye kundinyota zote, [[nyotaNyota]] za Mizani hazikaihuwa haziko pamoja hali halisikihalisi lakini zinaonekana vile tu vile kutoka duniani. HaliKwa halisiuhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali au jirani nasi. Kwa hiyo kundinyota "Mizani" inatajainaonyesha eneo la angani jinsi inavyoonekanatunavyoiona kutoka duniaDuniani.
 
==Jina==
Jina la Kiswahili ni Mizani latokanana linatokana na Kiarabu <big>ميزان </big> ''mizan'' ambalo linamaanisha "mizani". Jina hili lilipokelewa na Waarabu kutoka kwa [[Waroma wa Kale]] waliosema Libra ("mizani"). Kati ya mataifa ya kale mara nyingi nyota za Mizani zilihesabiwa kuwa sehemu ya [[Akarabu (kundinyota|Akarabu]], pamoja na kuangaliwa kama kundi la pekee.<ref> Hinkley, Star-names and their meanings 269 ff </ref>
 
Katika unajimu wa kisasa katika Afrika ya Mashariki jina "Mizani" ni jina la pekee la kale linaloendelea kutumiwa kwa kutaja kundinyota za Zodiaki ilhali zote nyingine zilipewa majina tofauti katika miaka iliyopita
 
== Mahali pake ==
Line 13 ⟶ 11:
 
== Magimba ya angani ==
Mizani huwa na nyota 83 zinazoonekana kwa macho matupu zikiwa na [[uangavu unaonekana]] wa zaidi ya 6.5 mag. ref>{{cite web|url=http://www.skyandtelescope.com/resources/darksky/3304011.html?page=1&c=y|title=The Bortle Dark-Sky Scale|last=Bortle|first=John E.|date=February 2001|work=[[Sky & Telescope]]|publisher=Sky Publishing Corporation|accessdate=3 April 2016}}</ref>
 
Nyota angavu zaidi ni