Mshale (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
'''Kausi''' ni jina la [[kundinyota]] kwenye [[zodiaki]] inayojulikana pia kwa jina la Kilatini '''[[:en:Sagittarius (constellation)|Sagittarius]]'''<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Sagittarius" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Sagittarii" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Sagittarii, nk.</ref>.
 
Jinsi ilivyo kwenye kundinyota zote, [[nyotaNyota]] za Kausi hazikaihuwa haziko pamoja hali halisi katika [[anga la nje]]kihalisi lakini zinaonekana tu vile tu kutoka duniani. HaliKwa halisiuhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali au jirani nasi. Kwa hiyo kundinyota "Kausi" inatajainaonyesha eneo la angani jinsi inavyoonekanatunavyoiona kutoka duniaDuniani.
 
==Jina==
Jina la Kiswahili limetokana na neno la Kiarabu ''Kaus'' <big>قوس</big> linalomaanisha "[[upinde]]", maana hii ni karibu sawa na jina la [[Kilatini]] "sagittarius" (mpiga upinde). Wataalamu wa kale waliona katika nyota zake picha ya mtu anayekalia juu ya farasi akishika pinde na kulenga mshale.
 
Jina la "Kaus" limetumiwa pia katika astronomia ya kimagharibi kutaja nyota kadhaa zilizomo hapa kama vile Kaus Australis, Kaus Medius na Kaus Borealis.