Tofauti kati ya marekesbisho "Hipparchos wa Nikaia"

no edit summary
Hutazamwa kama mwanaastronomia muhimu kabisa wa nyakati za kale.
 
Aliorodhesha [[nyota]] 800 na kuzichora katika [[ramani]] ya [[anga]]. AliwezaAlibuni kukadiriamfumo nawa kutabirikutofautisha nyota kwa [[kupatwauangavu kwa juaunaoonekana]] .
 
Aliweza kukadiria na kutabiri [[kupatwa kwa jua]] .
 
Katika [[hisabati]] alianzisha mbinu za kijiometria, kwa mfano mgawanyo wa [[duara]] kuwa na [[nyuzi]] 360.