Mwangaza unaoonekana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 15:
 
Kipimo hakifuati mstari bali vizio vyake vinafuatana kwa hatua za [[logi]]. kwa hiyo ongezeko la uangavu kutoka kizio kimoja hadi kile kidogo zaidi kinachofuata ni takriban mara 2.5
 
== Historia ya kipimo ==
Chanzo cha vipimo hivi ni kazi ya [[Hipparchos wa Nikaia]] mtaalamu wa [[Ugiriki ya Kale]]. <ref name=Belkora19.20>Leila Belkora, ''Minding the Heavens: The Story of our Discovery of the Milky Way'' (Bristol: Institute of Physics, 2003), pp. 19–20</ref> Aliorodhesha nyota kufuatana na uanganvu akazipanga nyota angavu zaidi kwenye daraja la kwanza, zile zilizonekana hafifu zaidi katika madaraja ya pili, tatu na kadhalika hadi daraja la sita. Orodha yake ilikuwa msingi wa kitabu mashuhuri cha [[Almagest]] cha [[Klaudio Ptolemaio]] kilichoendelea kuwa msingi wa utaalamu wa nyota hadi mwisho wa [[karne za kati]].
 
Baadaye skeli ya kale ilipanushwa pande zote mbili kwa kupokea pia magimba angavu zaidi au hafifu zaidi. Kufuatana na ufafanuzi wa mwaka 1850 ungavu wa nyota ya daraja la kwanza (1.0 mag) ni mara 100 uangavu wa nyota ya 6.0 mag, na hiyo mara 100 kuliko nyota ya 11.0 mag.
 
== Mifano ya uangavu unaoonekana na halisi ==