Atlasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Atlasi''' ni mkusanyiko wa ramani zinazounganishwa pamoja katiba umbo la kitabu. Siku hizi zinapatikana pia kwa umbo la elektroniki kwa matumizi ya k...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Atlasi''' ni mkusanyiko wa [[ramani]] zinazounganishwa pamoja katibakwa umbo la [[kitabu]]. Siku hizi zinapatikana pia kwa umbo la elektroniki kwa matumizi ya kompyuta au kwenye intaneti.
 
Kwa kawaida atlasi hua na ramani mbalimbali za [[nchi]], [[bara]] au [[Dunia]] yote. Kuna pia atlasi za anga zinazoonyesha nyota. Neno linatumiwa pia kwa mkusanyiko wa michoro ya anatomia ikionyesha mifupa au viungo vya mwili.