TAZARA : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
]viungo |
→Shabaha ya mradi wa kujenga TAZARA: Maelezo ya ziada.. Tags: Mobile edit Mobile web edit |
||
Mstari 32:
== Shabaha
Ukaguzi wa awali wa njia ya reli ulianza mwaka 1968. Hatua hii ilikuwa kutazamia mahali ambapo reli itapita. Ujenzi wa reli ya TAZARA
Shabaha ya mradi ilikuwa hasa kisiasa ililenga kuanzisha usafiri kwa ajili ya shaba ya Zambia usiotegemea mabandari ya [[Afrika Kusini]] na [[Msumbiji]]. Msumbiji wakati ule ilikuwa koloni ya Ureno na Afrika Kusini ilitawaliwa kwa mfumo wa [[apartheid]] (siasa ya ubaguzi wa rangi). Zambia chini ya serikali ya Kenneth Kaunda iliunga mkono upinzani dhidi ya apartheid na ukoloni ikaona aibu ya kutegemea nchi hizi kiuchumi. China ilitaka kuimarisha msimamo kati ya mataifa huru ya Afrika ikajitolea kujenga reli kwa kuipa Zambia njia nyingine ya kufikia bahari.
== Viungo vya Nje ==
|