Jabari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:OrionCC.jpg|thumb|Jabari - Orion]]
[[Picha:Orion 3008 huge.jpg|thumb|400px|Nyota za Jabari jinsi zinavyoonekana; juu kushoto iko '''[[Ibuti la Jauza]]''' (Betelgeuse) na katikati '''[[Rijili ya Jabari]]''' (Rigel)]]
'''Jabari''' ni [[kundinyota]] inayojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi la [[:en:Orion (constellation)]]. Ni moja ya kundinyota zinazotambuliwa na [[Umoja wa kimataifa wa astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref>
 
Nyota za Jabarii huwa haziko pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa uhalisi kuna umbali mkubwa kati yao, kama ziko mbali au jirani nasi. Kwa hiyo kundinyota "Jabari" inaonyesha eneo la angani jinsi tunavyoiona kutoka Duniani.