Makemake : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya Nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|en}} (2) using AWB (10903)
vyanzo
Mstari 6:
 
==Jina==
Jina lilichaguliwa kutokana na mungu mwuumbaji aliyeitwa "Makemake" katika dini asilia ya [[Kisiwa cha Pasaka]]. Kuna mapatano katika Umoja wa kimataifa ya astronomia kutumia majina ya miungu ya dini mbalimbali kwa magimba yanayoendelea kugunduliwa katika ukanda wa Kuiper. Asili ya jina iko katika lugha ya Kipolinesia na katiki dini yao ni mwuumbaji wa binadamu na mungu wa rutba. Makemake aliabudiwa katika ibada kwa umbo la ndege wa bahari. Ishara yak ilikuwa mwanaume mwenye kichwa cha ndege.<ref>[https://www.iau.org/news/pressreleases/detail/iau0806/ Fourth dwarf planet named Makemake], tovuti ya [[Ukia]], 19 Julai 2008, iliangaliwa Julai 2017</ref>
 
== Muundo na tabia ==
Mstari 17:
* [http://unawetanzania.org/2013/01/12/binamu-kipara-wa-pluto "Binamu Kipara wa Pluto": Habari za Makemake kwenye tovuti ya Unawe Tanzania]
* [http://cfa-www.harvard.edu/mpec/K05/K05O42.html MPEC listing for Makemake]
* [https://arxiv.org/abs/astro-ph/0702538v1 Physical Properties of Kuiper Belt and Centaur Objects: Constraints from Spitzer Space Telescope], 5 Nov 2007, tovuti ya Conell University, iliangaliwa Julai 2017]
 
{{mbegu-sayansi}}