Vostok : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mfano wa chombo cha anga Vostok pamoja na sehemu ya juu ya roketi '''Vostok''' (rus. Восто́к ''mashariki'') ili...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Vostok spacecraft.jpg|thumb|Mfano wa chombo cha anga Vostok pamoja na sehemu ya juu ya roketi]]
'''Vostok''' ([[rus.]] Восто́к ''mashariki'') ilikuwa jina la mradi wa kwanza wa [[usafiri wa anga la nje]] uliofaulu kupeleka binadamu kwenye [[anga la nje]] na kuwarudisha tena salama.
 
Ilikuwa mradi wa [[Umoja wa Kisovyeti]] ulioshindana na mradi wa Mercury wa [[Marekani]]. Mwanaanga [[Yuri Gagarin]] alikuwa binadamu wa kwanza aliyerushwa juu katika chombo [[Vostok 1]] tarehe [[12 Aprili]] [[1961]] na kuzunguka dunia mara moja katika anga la nje kwa kimo kati ya kilomita 315 na 169.
 
Mradi wa Vorstok ilikuwa na safari sita za kupeleka wanaanga nje ya [[angahewa]] ya [[Dunia]] kati ya 1961 hadi 1963; safari ndefu ilidumu siku tano na [[Vostok 6]] ilimpeleka mwanaanga [[Valentina Tereshkova]] aliyealiyekuwa mwanamke wa kwanza katika anga la nje.
Mradi ulitumia [[roketi]] za kijeshi zilizobeba [[chomboanga]] chenye sehemu mbili
* [[dambra]] (kichumba cha rubani)
* moduli ya huduma (injini, tangi ya fueli, beteri)