Moroko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza jina
Mstari 52:
}}
[[Picha:Map of Morocco from CIA World Factbook.png|thumb|right|250px|[[Ramani]] ya Moroko - [[mpaka]] wa [[kusini]] haueleweki kimataifa]]
'''Moroko''' (pia '''Maroko''', kwa [[Kiarabu]] المغرب), au kirefu Ufalme wa Moroko (المملكة المغربية al-mamlaka al-maghribiya yaani "ufalme wa [[magharibi]]") ni nchi ya [[Afrika ya Kaskazini]]-Magharibi.
 
Imepakana na [[bahari]] za [[Atlantiki]] na [[Mediteranea]]; upande wa [[bara]] imepakana na [[Algeria]] na [[Mauretania]].