Zama za Shaba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Urnenfelder panoply.png|thumb|right|200px|Moja ya silaha za kawaida za shaba wakati wa Zama za Shaba.]]
[[Picha:Collier de Penne.jpg|thumb|250px| Zama za Shaba - [[:fr:Muséum de Toulouse|Muséum de Toulouse]]]]
'''Zama za Shaba''' (ing. ''[[:en:bronze age|bronze age]]'') katika [[historia]] kilikuwa kipindi ambacho watu walitengeneza vifaa vyao kwa kutumia [[metali]] ya shaba nyesui au [[bronzi]] yenye mchanganyiko wa metali mbili: vipande tisa vya [[shaba]] kwa kipande kimoja cha [[batistani]].
 
[[Malighafi]] kama [[mbao]] na [[jiwe|mawe]] yalikuwa pia yakitumika kwa [[zana]], lakini shaba ilikuwa nzuri zaidi kwa kukatia na kuchongea, na ilikuwa rahisi sana kuitengenezea [[umbo]] la kitu.