Zama za Shaba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Urnenfelder panoply.png|thumb|right|200px|Moja ya silaha za kawaida za shaba wakati wa Zama za Shaba.]]
[[Picha:Collier de Penne.jpg|thumb|250px| Zama za Shaba - [[:fr:Muséum de Toulouse|Muséum de Toulouse]], [[Ufaransa]].]]
'''Zama za Shaba''' (ing.kwa [[Kiingereza]] ''[[:en:bronze age|bronze age]]'') katikakilikuwa kipindi cha [[historia]] kilikuwa kipindi ambacho watu walitengeneza vifaa vyao kwa kutumia [[metali]] ya [[shaba]] na baadaye [[bronzi]] yenye mchanganyiko wa metali [[mbili]]: vipande [[tisa]] vya [[shaba]] kwa kipande kimoja cha [[stani]].
 
[[Malighafi]] nyingine, kama [[mbao]] na [[jiwe|mawe]], yalikuwazilikuwa piazikitumika yakitumikapia kwa [[zana]], lakini shaba ilikuwa nzuri zaidi kwa kukatia na kuchongea, na ilikuwa rahisi sana kuitengenezea [[umbo]] la kitu.
 
Zama hizo za Shaba hazikuwahazikutokea wakati mmoja kila mahali, kwa sababu makundi tofauti ya watu walianza kutumia shaba kwa vipindi tofauti kabisa. Kwa mfano, upande wa [[Ulaya Magharibi|Magharibi Ulaya]], Zama za Shaba ziliisha kunako [[miaka ya [[2000 KK]] hadi [[800 KK]]. Kumbe upande wa [[Mashariki ya Kati]], zilianza takriban miaka [[elfu]] [[moja]] nyuma.
 
{{mbegu-historia}}
Mstari 11:
[[Jamii:Historia ya kale]]
[[Jamii:Vipindi vya kihistoria]]
[[Jamii:Teknolojia]]