Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 35:
Uso wa mwezi unajaa mashimo ya [[kasoko]] yaliyosababishwa kwa kugongwa na [[meteoridi]]. Mwezi hauna [[angahewa]] inayozuia mapigo ya [[meteoridi]] ndogo au kupunguzu nguvu yao jinsi ilivyo duniani.
[[Picha:Earth Moon Scale.jpg|thumb|center|800px|Picha inayoonyesha umbali baina ya dunia na mwezi kulingana na ukubwa
== Mwezi kama kipimo cha wakati ==
Mstari 48:
== Safari kwenda mwezini ==
[[Picha:Apollo 11 bootprint.jpg|thumb|right|180px|[[wayo|Nyayo]] za mwanaanga [[Edwin Aldrin]]
Mwezi wetu ni [[gimba la angani]] la kwanza ambako wanadamu wamefika. Tarehe [[21 Julai]] [[1969]] [[mwanaanga]] [[Mmarekani]] [[Neil Armstrong]] alikuwa mtu wa kwanza wa kukanyaga uso wa mwezi. Wamarekani 11 walimfuata hadi mwaka [[1972]]. Baadaye safari za kwenda mwezini hazikufanywa tena kutokana na gharama kubwa.
|