Wahutu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Wahutu''' ni kabila kubwa la watu wanaoishi katika eneo la Maziwa makubwa ya Afrika, hasa Rwanda na Burundi, lakini pia Jamhuri ya Kide...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:43, 22 Julai 2017

Wahutu ni kabila kubwa la watu wanaoishi katika eneo la Maziwa makubwa ya Afrika, hasa Rwanda na Burundi, lakini pia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Tanzania, hasa baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Jumla yao ni zaidi ya milioni 11.5.

Lugha yao ni kati ya lugha za Kibantu na imegawanyika katika lahaja mbili, Kinyarwanda na Kirundi.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wahutu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.