Ini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuweka picha
Tengua pitio 1006828 lililoandikwa na G.J.Kingodo (Majadiliano)
Mstari 1:
[[Picha:Liver (PSF)01 animation1.pnggif|alt=Ini|thumb|255x255px|Ini]]
'''Ini'''  ni  [[kiungo ]] cha  [[mwili]], hasa wa  [[binadamu]]  na  [[Mnyamamnyama|wanyama]]  wa hali ya juu.
 
== YaliyomoKazi ==
Ini linafanya  [[kazi]]  nyingi muhimu katika mwili:
  [[null ficha]] 
* Ini linatengeneza  [[nyongo]]  - ni  [[kimiminika]]  king'aavu cha  [[njano ]] chenye ukijani u[[kijani]] ambacho kinakwenda kwenye  [[utumbo mwembamba]]<nowiki/> ambacho kinasaidia kumeng'enya  [[vyakula]]  tunavyokula.
* [[Ini#Kazi|1Kazi]]
* Ini linatunza  [[glukosi]]  tukila kisha linaweka kwenye  [[damu]]  wakati glukosi ya kwenye damu ikiwa ndogo. Hii hutokea wakati mtu anahisi  [[njaa]].
* [[Ini#Magonjwa ya ini|2Magonjwa ya ini]]
** [[Ini#Dalili za magonjwa ya ini|2.1Dalili za magonjwa ya ini]]
** [[Ini#Aina za magonjwa ya ini|2.2Aina za magonjwa ya ini]]
** [[Ini#Tiba kwa magonjwa ya ini|2.3Tiba kwa magonjwa ya ini]]
 
== Kazi[hariri | hariri chanzo] ==
Ini linafanya [[kazi]] nyingi muhimu katika mwili:
* Ini linatengeneza [[nyongo]] - ni [[kimiminika]] king'aavu cha njano chenye ukijani ambacho kinakwenda kwenye [[utumbo mwembamba]]<nowiki/>ambacho kinasaidia kumeng'enya [[vyakula]] tunavyokula.
* Ini linatunza [[glukosi]] tukila kisha linaweka kwenye [[damu]] wakati glukosi ya kwenye damu ikiwa ndogo. Hii hutokea wakati mtu anahisi [[njaa]].
* Ini linatuwezesha kuishi.
* Ini linachukua  [[protini]]  na  [[mafuta]]  na kugeuza kuwa glukosi, hii ni muhimu wakati mtu hajala kwa muda mrefu.
* Pia ini linatengeneza mafuta na  [[kolestro]]
* Ini humeng'enya vitu vingi kwenye damu.
* Ini linatengeneza protini.
 
== Magonjwa ya ini[hariri | hariri chanzo] ==
[[Magonjwa]]  ya ini yanaweza kumfanya mtu aumwe sana sababu ya  [[kazi]]  muhimu za kiungo hicho. Yapo magonjwa mengi ya ini. Watu ambao wana magonjwa mabaya ya ini huwa wanakufa; ili kuokoa  [[maisha]]  yao wenyewe itawabidi kupandikiziwa ini jingine. Hii ni kwamba, ini la mtu mwingine ambaye amekufa huamishwa kwa mtu mwingine kwa  [[upasuaji]]. Upasuaji huo huwa na changamoto za kitaalamu lakini inaweza kuokoa  [[uhai]].
 
=== Dalili za magonjwa ya ini[hariri | hariri chanzo] ===
[[Dalili ]] za magonjwa ya ini hutokea kwa sababu ini halifanyi kazi inavyotakiwa:
 
Ini likishindwa kuyeyusha  [[sumu]]  na  [[uchafu]], hivi vitu vichafu vitakaa kwenye  [[damu]]  kwa muda mrefu. Kitu kimoja ambacho kinajijenga ni  [[bilirubini ]] ([[dutu ]] ya  [[njano ]] inayoipa  [[nyongo]]  [[rangi]]  ya njano),  [[seli nyekundu za damu]]  zinapokufa,  [[hemoglobini]]  iliyopo kwenye hizo seli zikivuja kwenye damu  [[hemoglobini]]  huwa bilirubini. Ini huchukua bilirubini hiyo nje ya damu na kuweka kwenye nyongo, nyongo huenda kwenye  [[utumbo]], kisha hutolewa nje pamoja na uchafu kutoka mwilini. Kama ini likipata matatizo, halitatoa bilirubini, kwa hiyo bilirubini itakaa mwilini: hii hufanya mtu aonekane wanjano na inajulikana kama  [[homa ya manjano]]. Kwa hiyo  [[macho]]  na  [[ngozi]]  kuwa ya njano ni dalili za magonjwa ya ini.
 
Dalili nyinginezo ni:
* Kutokwa damu kwa sababu ini halitengenezi  [[protini ya ugandishaji ]] ya kutosha
* Kuvimba mwili
* Kuchoka sana kwa sababu  [[amonia]]  ya ziada haiyeyushwi na ini
* Kutokwa damu kwenye  [[vena]]  kubwa zilizovimba
 
=== Aina za magonjwa ya ini[hariri | hariri chanzo] ===
[[Homa ya ini]]  (kwa  [[Kiingereza]]  ''hepatitis''): hii hutokea kama seli za ini zikiugua. Hii inaweza kutokana na  [[maambukizi ya virusi]]. Pia inaweza kusababishwa na  [[sumu]]. Sumu kuu ambayo mara kwa mara husababisha hii ni  [[kileo ]] ([[pombe]]). Inaweza ikawa ki[[jenitikia]], au sababu za  [[mfumo wa kingamwili]]  wenyewe.
 
[[Kusinyaa kwa ini ]] (kwa Kiingereza  ''cirrhosis''): hii husababishwa na kufa kwa  [[seli]]  za ini ambao hutokea tena na tena. Kama seli za ini zikifa,  [[tishu]]  za makovu ma[[kovu]] hujiunda. Hizi tishu huharibu muundo wa ini, hii hufanya ini lisifanye kazi vema. Lakini pia hufanya  [[shinikizo ]] kwenye  [[vena]]  ambayo huenda kwenye ini kubwa sana.
 
Unaweza pia kupata  [[saratani]]  ya ini. Hii inaweza ikawa saratani ya kuathiri sehemu nyinginezo ambayo inaweza kutokea kwenye sehemu nyingine kwenye mwili wako.
 
=== Tiba kwa magonjwa ya ini[hariri | hariri chanzo] ===
Magonjwa mengine ya ini hutibika kirahisi kwa  [[dawa]].
 
[[Virusi]]  vingine vya ini vinaweza kuzuiwa kabla havijaanza kwa  [[chanjo]].
 
Magonjwa mengine ya ini yanaweza tu kutibika kwa kupandikiza ini jingine.
 
{{mbegu-anatomia}}
 
[[Jamii:Viungo vya mwili]]
[[Jamii:Ini]]