Galaksi : Tofauti kati ya masahihisho

no edit summary
No edit summary
No edit summary
Galaksi yetu, ikiwemo [[mfumo wa jua]] letu, imekadiriwa kuwa na nyota zaidi ya 300,000,000,000. Sehemu ya nyota hizi zinaonekana kama [[kanda]] la kung'aa kwenye [[anga]] la [[usiku]] linalojulikana kwa [[rangi]] yake kama [[njia nyeupe]] au njia ya [[maziwa]] ([[kiowevu]] hicho kwa [[Kigiriki]] kinaitwa "galaks"). Umbo lake unafanana na kisahani kikiwa na [[kipenyo]] cha [[mwaka wa nuru|miaka ya nuru]] 100,000 na kikiwa na [[unene]] wa miaka ya nuru 3,000.
 
Galaksi iliyo karibu angani inaitwa [[Andromeda (galaksi)|Andromeda]] na ina umbali wa miaka ya nuru milioni 2.5.
 
[[Idadi]] kamili ya galaksi zote angani haijulikani. Kuna ma[[kadirio]] ya kwamba idadi ya galaksi bilioni inaweza kuangaliwa kwa vyombo vinavyopatikana. Hadi sasa sehemu ndogo tu imehesabiwa lakini mara kwa mara galaksi mpya zinatambuliwa kwa njia ya [[darubini]] au vyombo vya angani.