Septemba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q123 (translate me)
+kiungo
Mstari 2:
Mwezi wa '''Septemba''' ni mwezi wa tisa katika [[Kalenda ya Gregori]]. Jina lake limetokana na neno la [[Kilatini]] ''septem'', maana yake ni "saba". Mwaka wa [[153 KK|153]] [[KK]], mwanzo wa mwaka ulitanguliza miezi miwili kutoka [[Machi]] kwenda [[Januari]], na maana ya jina lake Septemba ilipotea.
 
Tarehe 20, mwezi huo wa Septemba, ni siku mlingano (au '''[[ikwinoksi]]''' kutoka Kiingereza ''equinox'') ambapo jua huvuka mstari wa [[ikweta]], na usiku na mchana ziko sawasawa kimuda duniani popote (ila maeneo ya ncha ambapo nusu ya jua hubaki chini ya [[upeo wa macho]] na nusu nyingine juu kwa siku nzima).
 
Septemba ina siku 30, na inaanza na siku ya juma sawa na mwezi wa [[Desemba]].