Upeo wa macho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '250px|thumb|Upeo wa macho unaonekana kama mstari tukiwa baharini '''Upeo wa macho''' ''(en:horizon)'' ni mwisho wa yale...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 22:11, 25 Julai 2017

Upeo wa macho (en:horizon) ni mwisho wa yale yanayoonekana kwa macho.

Upeo wa macho unaonekana kama mstari tukiwa baharini

Upeo huu unaonekana kama mstari unaotenganisha dunia chini na anga juu.