Kondoo (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Hamali Aries.jpgpng|300px400px|thumb|Nyota kuu za Hamali (Aries)]]
'''Hamali''' ni [[kundinyota|kundinyota]] ya [[zodiaki]] inayojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi la [[:en:Aries constellation|Aries]]<ref>[[Uhusika milikishi]] ''([[:en:genitive]])'' ya neno "Aries" katika lugha ya [[Kilatini]] ni "Arietis" na hili ni umbo la jina linaloonekana katika majina ya nyota za kundi hili kama vile Alfa Arietis, nk.</ref>. Hamali pia ni jina la kimataifa kwa nyota angavu zaidi kati kundinyota hii.