Kaizari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Image:Giulio-cesare-enhanced 1-800x1450.jpg|thumb|leftright|120px|[[Julius Caesar]] alikuwa asili ya cheo cha Kaizari.]]
[[Image:Statue-Augustus.jpg|thumb|120px|[[Kaizari Augusto]] wa [[Dola la Roma]].]]
[[Image:Ingres, Napoleon on his Imperial throne.jpg|thumb|120px|<small>Mtawala wa [[Ufaransa]] [[Napoleon Bonaparte]] aliyejiwekea taji la Kaizari 1804.</small>]]
[[Image:Bokassa.jpg|thumb|120px|Kaizari Bokassa mwaka 1977.]]
 
'''Kaizari''' ni [[cheo]] cha [[mfalme mkuu]]. [[Neno]] la [[Kiswahili]] limetokana na [[lugha]] ya [[Kijerumani]] "Kaiser", lakini asili yake ni [[Kilatini]] "Caesar".
 
==Asili ya Kiroma==
Asili ya cheo ni [[Julius Caesar]] aliyekuwa kiongozi wa [[Dola la Roma]] hadi kuuawa kwake na wapinzani mwaka [[44 KK]]. [[Orodha ya Makaizari wa Roma|Watawala waliomfuata]] walianza kutumia jina la Caesar kwa heshima yake hadi jina lilikuwa cheo.
 
[[Orodha ya Makaizari wa Roma|Watawala waliomfuata]] walianza kutumia jina la Caesar kwa [[heshima]] yake hadi jina likawa cheo.
Cheo cha Kaizari kiliendelea kutumika katika eneo la Dola la [[Roma ya Mashariki]] ([[Bizanti]]) hadi [[1453]].
 
Cheo cha Kaizari kiliendelea kutumika katika eneo la Dola la [[Roma ya Mashariki]] ([[Bizanti]]) hadi mwaka [[1453]].
 
==Ulaya==
Katika [[Ulaya]] yenyewe [[mfalme]] wa [[Wafaranki]] [[Karolo Mkuu]] alipokea cheo cha "Caesar" au Kaizari. Baadaye wafalme [[Orodha ya Wafalme Wakuu wa Ujerumani|Wajerumani]] waliomfuata Karolo Mkuu katika sehemu ya [[mashariki]] ya [[ufalme]] wake waliendelea kutumia cheo hiki cha Caesar au Kaizari.
 
Neno la Kaizari liliingia katika lugha ya Kiswahili wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] huko [[Tanzania]]., kwa kuwa [[Austria]] na [[Ujerumani]] zilitawaliwa hadi mwisho wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] [[1918]] na wafalme wenye cheo cha "Kaizari" (''[[kijer.]]: Kaiser)''.
 
Vilevile mfalme wa [[Urusi]] alikuwa na cheo kilekile kilichoitwa "[[Tsar]]" kwa [[Kirusi]], ilhali neno hili limeundwa pia kutoka kwa "Caesar".
 
Lugha za [[Kiingereza]] na [[Kifaransa]] zilitumia cheo tofauti cha macaesar wa Kiroma, ndicho "Imperator" (= mwenye amri, mwenye mamlaka, jemadari) kilichokuwa "Emperor" ([[kwa Kiingereza|Kiing.]]) au "Empereur" ([[kwa Kifaransa]]).
 
==Nje ya Ulaya==
Kaizari ni cheo cha mfalme aliye juu ya wafalme wengine. Kutokana na uzuefuuzoefu huu hata [[Shah]] wa [[Uajemi]], [[Tenno]] wa [[Japani]], [[Huangdi]] wa [[China]] na [[Negus Negesti]] wa [[Ethiopia]] hutajwa kwa cheo cha "Kaizari".
 
[[Malkia]] [[Viktoria wa Uingereza|Viktoria]] alitumia cheo cha Kaizari ("empress") kama mtawala wa [[Uhindi]] tangu mwaka [[1877]].
 
Wakati wa [[ukoloni]] mtawala mkuu wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] alikuwa [[Kaizari Wilhelm II]] wa Ujerumani; kwenye [[sarafu]] ya [[rupia]] alionyeshwa pamoja cheo kwa lugha ya [[Kilatini]] "imperator".
 
Rais [[Jean-Bedel Bokassa]] alijitangaza kuwa Kaizari ("empereur") wa [[Afrika ya Kati]] mwaka [[1977]] akiiga mfano wa [[Napoleon Bonaparte]] aliyejiwekea [[taji]] la Kaizari ya [[Ufaransa]] mwaka [[1804]]. Bokassa alipinduliwa mwaka [[1979]] na nchi kuwa [[jamhuri]] tena.
 
[[Category:Cheo| ]]