Amerigo Vespucci : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 8:
 
Katika safari ya [[pili]] kwenda Amerika Kusini mwaka [[1501]] / [[1502]] alipita [[mwambao]] wa [[Brazil]] na [[Argentina]] hadi [[Patagonia]]. Aliporudi aliamini ya kwamba nchi ng'ambo ya [[Atlantiki]] si [[Asia]] bali "dunia mpya" au bara jipya. [[Maandiko]] yake yalisambaa kote [[Ulaya]] na [[mwanajiografia]] [[Mjerumani]] [[Martin Waldseemüller]] alitumia jina "[[Amerika]]" kwa heshima ya Amerigo alipochora [[ramani]] yake ya [[dunia]] mwaka [[1507]].
 
Upande wa [[dini]], alikuwa [[Mkristo]] wa [[Kanisa Katoliki]], tena mwanachama wa [[Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko]].
 
[[Jamii:Waliozaliwa 1451]]