Divina Commedia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|230px|right|Dante Alighieri jinsi alivyochorwa na [[Giotto di Bondone|Giotto wakati wa maisha yake.]] '''Divina Commedia'''...'
 
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Dante-alighieri.jpg|thumb|230px|right|Dante Alighieri jinsi alivyochorwa na [[Giotto di Bondone|Giotto]] wakati wa maisha yake.]]
'''Divina Commedia''' (yaani "Tamthilia ya Kimungu") ndiyo [[jina]] la [[Kiitalia]] la kazi kuu ya [[Dante Alighieri]] ([[14 Mei]]/[[13 Juni]] [[1265]] - 13/[[14 Septemba]] [[1321]]), iliyomfanya ahesabiwe [[mshairi]] bora wa lugha ya [[Kiitalialugha]] hiyo, tena kama mshairi muhimu zaidi wa kipindi cha [[zama za kati]] za [[Ulaya]].
 
==Muundo==
Ni [[shairi]] refu ambamo anatoa habari za [[safari]] yake ya ki[[dhahania]] huko [[ahera]] akipitia [[jehanamu]], [[toharani]] hadi [[paradiso]]. Ndiyo sehemu [[tatu]] za shairi hilo zinazomwezesha kukiri [[imani]] yake ya [[Ukristo|Kikristo]] na kuchukua msimamo kuhusu watu na matukio hasa ya wakati wake.
 
{{mbegu}}