Mguu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[File:Gray1240.png|thumb|[[Mchoro]] wa mguu wa [[binadamu]].]]
'''Mguu''' ni sehemu ya [[mwili]] chini ya [[kiwiliwili]].
Mguu ni moja ya sehemu zenye umuhimu mkubwa katika jamii.
 
[[Binadamu]] huwa na miguu miwili na anaitumia kwa kutembea amesimama wima. [[Wanyama]] wengi wana miguu minne na kuitumia yote pamoja kwa kutembea.